- Популярные видео
- Авто
- Видео-блоги
- ДТП, аварии
- Для маленьких
- Еда, напитки
- Животные
- Закон и право
- Знаменитости
- Игры
- Искусство
- Комедии
- Красота, мода
- Кулинария, рецепты
- Люди
- Мото
- Музыка
- Мультфильмы
- Наука, технологии
- Новости
- Образование
- Политика
- Праздники
- Приколы
- Природа
- Происшествия
- Путешествия
- Развлечения
- Ржач
- Семья
- Сериалы
- Спорт
- Стиль жизни
- ТВ передачи
- Танцы
- Технологии
- Товары
- Ужасы
- Фильмы
- Шоу-бизнес
- Юмор
MNYAMA PORI HATARISHI AINA YA NYATI AUAWA TUNDURU
Askari wa Wanyamapori kwa kushirikiana na Askari Polisi, Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wamefanikiwa kumuua mnyama pori hatari aina ya Nyati aliyejitokeza na kuleta taharuki kubwa kwa wananchi wa eneo la Kadewele lililopo mjini Tunduru mkoani humo.
Baadhi ya wakazi wa eneo la Kadewele lililopo mjini Tunduru mkoani Ruvuma, wameeleza namna mnyama huyo alivyoonekana hadi askari walipochukua hatua za kumuua, huku Afisa Maliasilili Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Bwana Dunia Almasi pamoja kukiri kupokea maagizo ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Bwana Denis Masanja kuhusu kufanya tathmini ya mazao ya wananchi yaliyoharibiwa.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Видео MNYAMA PORI HATARISHI AINA YA NYATI AUAWA TUNDURU канала ITV Tanzania

Комментарии отсутствуют
Информация о видео
Вчера, 19:49:38
00:03:28
Другие видео канала