Загрузка страницы

MHANDISI TANESCO AIVULIA KOFIA AL-HIKMA PRiMARY SCHOOL

Meneja wa Shirika la Umeme nchini Tanzania (TANESCO) Mhandisi Mkufu Shabani Tindi ameimwagia sifa Al-hikma Primary School kwa malezi bora ya watoto kitaaluma pamoja na elimu ya mazingira.
Mhandisi Mkufu ametoa sifa hizo wakati wakati akizungumza katika mahafali ya 16 ya darasa la saba shuleni hapo.
Aidha amewaasa wazazi na walezi nchini kuwapeleka watoto wao katika shule za Al-hikma ili wapate elimu bora ya kidunia na akhera.

Видео MHANDISI TANESCO AIVULIA KOFIA AL-HIKMA PRiMARY SCHOOL канала Kishki Online TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
6 ч. 53 мин. назад
00:04:36
Яндекс.Метрика