- Популярные видео
- Авто
- Видео-блоги
- ДТП, аварии
- Для маленьких
- Еда, напитки
- Животные
- Закон и право
- Знаменитости
- Игры
- Искусство
- Комедии
- Красота, мода
- Кулинария, рецепты
- Люди
- Мото
- Музыка
- Мультфильмы
- Наука, технологии
- Новости
- Образование
- Политика
- Праздники
- Приколы
- Природа
- Происшествия
- Путешествия
- Развлечения
- Ржач
- Семья
- Сериалы
- Спорт
- Стиль жизни
- ТВ передачи
- Танцы
- Технологии
- Товары
- Ужасы
- Фильмы
- Шоу-бизнес
- Юмор
VICTORY IN BUSINESS IS THE STATE OF POSITIVE MINDSET | BARIKIELI SEURI-TheROYALMISSION ACADEMY
VICTORY IS THE STATE OF MIND.
Mwaka 2022 kampuni ya LOUIS VUITTON ilifanya jambo la ajabu kabisa, jambo ambalo hakuna aliyedhani lingetokea hasa ukiwa umebaki usiku mmoja tu kombe la Dunia lianze..
Tunaelekea kwenye mashindano makubwa sana ya kusisimua kwenye ulimwengu wa soka, nazungumzia "WORLD CUP 2026 yatakayofanyika bara la Amerika host mkuu akiwa Marekani (USA) kwa kushirikiana na Canada.
Sasa, kwenye ulimwengu wa Biashara tuna mengi ya kujifunza kwenye kila WORLD CUP (Kombe la Dunia).
Nyuma ya pazia mambo yalianza kuchangamka mara tu baada ya kumalizika kwa mashindano ya kombe la dunia yaliyopita yaliyofanyika QATAR 2022.(Hili tangazo ni la mwaka 2022).
Kila kampuni ilitaka ishinde tenda au deal kwa ajili ya mwaka huu 2026, ni vita haswa;Vuta Nikuvute Simchezo!!.
Leo tupo 2026 na mwezi wa sita macho yote yatakuwa pale USA kwa Donald Trump lakini safari hii ni kwaajili ya burudani ya soka na biashara zaidi (Acha siasa zao kwanza).TURUDI KWENYE DEAL.
Deal lenyewe ni la kutoa tangazo liliowakutanisha magwiji wawili wa soka , LIONEL MESSI na CRISTIANO RONALDO.
Ilionekana ni maajaabu kwa sababu kibiashara kweli ingelipa lakini how could you make that possible?
Hapo kabla hawajawahi kuwa na tangazo moja, na kila mtu alikuwa busy kujiandaa na kombe la dunia,
Ilihitajika team ya kitaalamu (Barack Ferrazzano) ili wasuke deal hadi hilo tangazo linatoka bila kuleta shida kibiashara na bila kuharibu ratiba wala brand ya kila mmoja.
Tunajifunza kuwa si kila wakati biashara ni kushindana hasa kwa kipindi hiki ambapo karibu kila biashara/industry inapitia mabadiliko makubwa ya kijumla jumla,
Kuna wakati biashara ili iende tunahitaji "STATE OF MIND" na team ikae kitaalamu zaidi.
Kuna akili kubwa sana ilitumika hapo, ndio maana utaona hapo kuna hio picture ya CHESS ambayo ilimimick real game lililochezwa mwaka 2017 kwenye WORLD CHESS GAME kati ya mtaalamu Magnus Carlsen kutoka Norwey na Hikaru Nakamura, Mmarekani mwenye asili ya Japan, wakamaliza kwa sare (Draw)-That's a story for another day.
#TheBLESSEDfamily #TheROYALMISSION
#NeverDROPYourVISION #worldcup2026
Gnothi Seauton,
Memento Vivere,
..........Cerpe Diem, et Amori Fati.
Barikieli Seuri Meibuko.
Видео VICTORY IN BUSINESS IS THE STATE OF POSITIVE MINDSET | BARIKIELI SEURI-TheROYALMISSION ACADEMY канала TheBLESSEDfamily COMPANY

Комментарии отсутствуют
Информация о видео
1 мая 2026 г. 15:14:51
00:01:13
Другие видео канала