Загрузка страницы

Mama mjane asimulia alivyompatia mwanawe Sh600 za matumizi baada ya kuchaguliwa kwenda jeshini

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Mama mjane,asimulia alivyompatia mwanawe Sh600 za matumizi baada ya kuchaguliwa kwenda jeshini

Chama cha Wanawake Wajane Tanzania mkoa wa Tanga kimeiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuwapatia mikopo kupitia vikundi vyao na misaada mingine,ili kuweza kuabiliana na changamoto zinazowakabili za kushindwa kumudu kuendesha familia baada ya wanaume zao kufariki,

Miongoni mwa makundi ambayo yamesahaulika kwenye jamii katika fursa mbalimbali ni wanawake wajane,ambao wameachiwa familia na wanaume zao waliofariki,wanawake hao wanakutana na mitihani kama anavyosimulia Fatuma Omari mkazi wa Mwakizaro mkoani Tanga.

"Nimefiwa na mume wangu tangu mwaka 2002 na ameniachia watoto sita,siku nane baada ya kifo cha mume wangu mtoto wetu wa kwanza aliomba nafasi jeshini na kuchaguliwa ambapo siku ambayo alikuwa akiondoka hatukuwa na pesa ya kumpa ya matumizi,nilikuwa na Sh600 nikampa hiyo hiyo kama pesa yake ya matumizi na sasa amefanikiwa kumaliza mafunzo yake na kupata ajira",amesema Fatuma.

Katibu wa Chama cha Wanawake Wajane Tanzania mkoa wa Tanga Fatuma Madule mbele ya mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian anakiri wanawake wengi wajane kupitia changamoto nyingi za kimaisha walipokuwa kwenye kikao cha kujitambulisha kwenye serikali ya mkoa wa Tanga na kusema kuwa mkoa huo una wanawake wajane zaidi ya 1800 na wanakutana na changamoto nyingi.

Mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian amekiri serikali kutowashirikisha baadhi ya matukio wajane,ila kuanzia sasa serikali ya mkoa itakuwa ikiwashirikisha na hatua ya awali watasajiliwa ili kuweza kupata mikopo hivyo kuwataka kuunda vikundi.

Видео Mama mjane asimulia alivyompatia mwanawe Sh600 za matumizi baada ya kuchaguliwa kwenda jeshini канала Mwananchi Digital
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
4 июля 2024 г. 20:48:56
00:03:50
Другие видео канала
Wenje awavaa wanaomsifia Rais Samia, ataka maandamano kuahinikiza waliokula fedha wakamatweWenje awavaa wanaomsifia Rais Samia, ataka maandamano kuahinikiza waliokula fedha wakamatweMbunge Korogwe vijijini amshukuru Rais SamiaMbunge Korogwe vijijini amshukuru Rais SamiaProfesa Janabi Ataja  idadi ya waliowekwa puto,  Muhimbili kuanza huduma upandikizaji mimbaProfesa Janabi Ataja  idadi ya waliowekwa puto, Muhimbili kuanza huduma upandikizaji mimba#LIVE🔴 RAIS SAMIA SAMIA AKIZINDUA KITABU CHA EDWARD MORINGE SOKOINE JNICC-DAR ES SALAAM#LIVE🔴 RAIS SAMIA SAMIA AKIZINDUA KITABU CHA EDWARD MORINGE SOKOINE JNICC-DAR ES SALAAMTAZAMA TRUMP AKISHUKA UWANJA WA NDEGE NEW JERSEY BAADA YA KURUHUSIWA KUTOKA HOSPITALITAZAMA TRUMP AKISHUKA UWANJA WA NDEGE NEW JERSEY BAADA YA KURUHUSIWA KUTOKA HOSPITALIAli Kamwe anamsaka Ahmed Ally: Tumewashona mdomo, atamba na Pacome wa Yanga PrincessAli Kamwe anamsaka Ahmed Ally: Tumewashona mdomo, atamba na Pacome wa Yanga PrincessHUU HAPA UKWELI WOTE NDEGE YA RAIS WA VENEZUELA KUKAMATWA MAREKANI, WASEMA NI 'UHARAMIA'HUU HAPA UKWELI WOTE NDEGE YA RAIS WA VENEZUELA KUKAMATWA MAREKANI, WASEMA NI 'UHARAMIA'Anayedaiwa kumuua mama yake na kuaandaa mazishi akamatwa, chanzo cha mauaji chatajwaAnayedaiwa kumuua mama yake na kuaandaa mazishi akamatwa, chanzo cha mauaji chatajwa'WALIOTUMWA NA AFANDE' MBIVU NA MBICHI KUJULIKANA LEO ||MAISHA JELA, URAIANI'WALIOTUMWA NA AFANDE' MBIVU NA MBICHI KUJULIKANA LEO ||MAISHA JELA, URAIANITAHARUKI GEITA WANANCHI WAVAMIA KITUO CHA POLISI, WAGOMA KUFUNGUA MADUKATAHARUKI GEITA WANANCHI WAVAMIA KITUO CHA POLISI, WAGOMA KUFUNGUA MADUKABREAKING:  RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI ma -DC WAPYA WATATU   , WENGINE WAHAMISHWA MAJINA YOTE HAYA HAPABREAKING: RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI ma -DC WAPYA WATATU , WENGINE WAHAMISHWA MAJINA YOTE HAYA HAPAMbwa akutwa na viungo vya mtoto Dodoma, Polisi yaanza uchunguziMbwa akutwa na viungo vya mtoto Dodoma, Polisi yaanza uchunguziHIZI hapa SABABU Za WANAWAKE kuweka ugoro SEHEMU za SIRIHIZI hapa SABABU Za WANAWAKE kuweka ugoro SEHEMU za SIRIMaisha ya Afande Sele,  mjengo wake huu hapa  amtengenezea Rais Samia, Magufuli maeneo, ataja sababuMaisha ya Afande Sele, mjengo wake huu hapa amtengenezea Rais Samia, Magufuli maeneo, ataja sababuAngalizo matumizi holela vipimo vya Ukimwi, watu wafunguka wanavyowapima wapenzi waoAngalizo matumizi holela vipimo vya Ukimwi, watu wafunguka wanavyowapima wapenzi waoMAPYA YAIBUKA NABII  KIBOKO YA UCHAWI, YASEMEKANA AME....MAPYA YAIBUKA NABII KIBOKO YA UCHAWI, YASEMEKANA AME....AJINYONGA KISA KAMARI YA 'AVIATOR', MAJIRANI WAFUNGUKAAJINYONGA KISA KAMARI YA 'AVIATOR', MAJIRANI WAFUNGUKAMbunge Mwambe amuamshia Waziri Bashe,  "Achia hii kazi"Mbunge Mwambe amuamshia Waziri Bashe, "Achia hii kazi"Fahamu historia ya kijiji cha msomera kilichopo Handeni wanapohamishiwa wananchi wa ngorongoroFahamu historia ya kijiji cha msomera kilichopo Handeni wanapohamishiwa wananchi wa ngorongoroInasikitisha !!!! Ajali yaua wanafunzi wawili TangaInasikitisha !!!! Ajali yaua wanafunzi wawili TangaBalaa lingine mkoani Mwanza!!!!  Auawa kikatili  na kutupwa,  avunjwa miguuBalaa lingine mkoani Mwanza!!!! Auawa kikatili na kutupwa, avunjwa miguu
Яндекс.Метрика