Загрузка страницы

Kesho Kutwa by Ethan Muziki cover

Kwangu Kujua na kukua
Ni lengo la kila kukisha tua
Hivyo hata ukinizungusha
Sioni shida, Utanifundisha
Wakaribu wanatambua
Saa zingine maneno hunisumbua
Huwa yanikataa
Huwa yanihadaa
Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika
Na nitapita yie
Lakini we, ona ninapaa
Ndege ushanifanya
Ukipandisha bei, unajua nitafika
Hata Kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana
Hata kesho Kutwa, tutapendana
Na usiku kucha, tutapendana

Видео Kesho Kutwa by Ethan Muziki cover канала zonmaker🌍
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
12 августа 2022 г. 16:51:10
00:01:38
Яндекс.Метрика