Загрузка страницы

Rais Uhuru Kenyatta aongoza kuchangishwa pesa za masomo London

Rais Uhuru Kenyatta pamoja na Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson wamefanikiwa kuchangisha Zaidi ya shilingi bilioni 430 za kufadhili elimu ya Watoto maskini duniani. Viongozi hao wawili walitoa ahadi ya kuchangisha Zaidi ya bilioni 530 chini ya mpango wa Global Partneship for Education katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Видео Rais Uhuru Kenyatta aongoza kuchangishwa pesa za masomo London канала Kenya CitizenTV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
30 июля 2021 г. 21:54:15
00:02:34
Яндекс.Метрика