Загрузка страницы

JOEL MAKECI ft NGGBC-EKWUEME (Official video) 4k

Tumeumbwa na Mungu kwa kusudi la kumtukuza,kumpa sifa zote na kumshujudu katika maisha yetu yote.Ivyo basi sisi tu mali yake na tunapaswa kunyenyekea katika mkono wake.
Hatutakiwi kuwa na ujanja wa kutokumsifu Mungu maana yeye ndiye Mungu mmoja tuliye naye.Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu,tena ni Mungu wa wote wenye mwili,yeye ni yule jana leo na hata milele.Halinganishwi na chochote hapa chini ya jua,hivyo tuna kila sababu ya kumsujudu huyu Mungu wetu.

Mungu akubariki na kukubadilisha Maisha yako ya kiroho na kimwili unapoendelea kuangalia wimbo huu.
#Ekwueme
#NGGBC_BAND
#Joel_Makeci #believeingod

Видео JOEL MAKECI ft NGGBC-EKWUEME (Official video) 4k канала Joel Makeci
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
11 января 2020 г. 2:00:19
00:07:28
Яндекс.Метрика