Загрузка страницы

Jinsi ya kupika Pilau la kuchambuka - Lamb Pulao

Jinsi ya kupika pilau linalochambuka vizuri - pilau ya kondoo au unaweza kutumia nyama yoyote au kuku
Mahitaji
▶mchele vikombe 2
▶nyama ya kondoo nusu kg
▶Maji ya kuwivisha nyama
▶mafuta ya kupikia vjk 3 mpaka 4
▶kitunguu maji 1
▶viazi mviringo 2
▶hoho kiasi
▶carrot 1 ndogo
▶kitunguu saum tangawizi kjk 1
▶chumvi kiasi
▶curry powder kjk 1 kidogo (si lazima )
▶majani makavu ya mvuje kiasi (si lazima)
▶Spicy ya pilau kijiko 1 cha kula - unaweza kuona recipe yake hapa 👉 https://youtu.be/BgUzII3Dji0

✔instagram; jifunze_mapishi & shunaskitchen

for business enquiry only
📧 shunaskitchen@gmail.com

____________________ ____________________
Ingredients
▶2 cups rice - basmati
▶1/2 kg lamb meat
▶water as required
▶3 -4 tbsp olive oil
▶1 red onion
▶mixed peppers
▶1 small carrot - chopped
▶1 tbsp garlic ginger paste
▶salt to taste
▶1 tsp curry powder - optional
▶few curry leaves -optional
▶pulao masala - watch how to make a pulao masala at home https://youtu.be/BgUzII3Dji0

__________________________________

Видео Jinsi ya kupika Pilau la kuchambuka - Lamb Pulao канала Shuna's Kitchen
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
7 мая 2018 г. 15:52:35
00:03:59
Яндекс.Метрика