Загрузка...

Vipi YouTube Inalipa? #onlineincome

💰 Unataka Kuanza Kulipwa na YouTube? Soma Hii.

Watu wengi wanapoteza muda kutafuta "Likes" na "Comments" wakidhani ndio zinaleta pesa. Ukweli ni kwamba, YouTube inakulipa kwa Matangazo, sio kwa umaarufu.

Kwenye video hii, nimeelezea:
✅ Vigezo vipya vya kuanza kulipwa.
✅ Kwanini view 1 ya Marekani inalipa sawa na views 100 za Bongo (CPM).
✅ Njia za kupata pesa hata kama una subscribers wachache.
Tazama Video hii full Kupitia Channel yangu ya YouTube (Mohamed Hafidh Tz) ama endelea kuni follow @mohamedhafidh_tz kupata muendelezo wa video hii nzima.

Like | Repost | Follow me!

Видео Vipi YouTube Inalipa? #onlineincome канала Mohamed Hafidh Tz
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять