Загрузка страницы

Style mpya ya Kuweka Black and White katika picha

Kama unataka kubadili picha zako ziwe katika muonekano wa Black and White hii video itakusaidia sana
Lakini pia utajifunza style mpya ambazo zinaweza zikavutia zaidi katika Kuzitofautisha picha zetu zisionekane za kizamani

Na siku zote Richstar nimekuwa nikikupa siri za kuwa designer mbunifu Kwani wengi wanafanya Graphics design ila wale wachache wenye ubunifu ndiyo huweza kupata faida juu ya kile wanachokifanya

Видео Style mpya ya Kuweka Black and White katika picha канала Richstar
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
27 сентября 2017 г. 15:24:18
00:13:29
Яндекс.Метрика