Загрузка страницы

KHADIJA KOPA Mbele ya WAZIRI "Mwanamke Jeuri Mchukulie Mumewe"

KHADIJA KOPA Mbele ya WAZIRI "Mwanamke Jeuri Mchukulie Mumewe"

Mwanamuziki na muasisi wa Taarab nchini, Malkia Khadija Omary Kopa, ametunukiwa tuzo ya heshima ya AWAFFEST kwa mwaka 2019....

Hafla ya utoaji wa tuzo hizo imefanyika Machi 31, katika ukumbi as Makumbusho ya Taifa jijini Dar na kuhudhuriwa na Mgeni rasmi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamid KIGWANGALA.

Awaffest ni Tuzo ambazo zinasimamiwa na msanii wa filamu bongo, Yvonne Cherry 'Monalisa' ambaye pia ni balozi wa African Film Festival.

#Awaffest #Monalisa

https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Видео KHADIJA KOPA Mbele ya WAZIRI "Mwanamke Jeuri Mchukulie Mumewe" канала Global TV Online
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
1 апреля 2019 г. 6:16:58
00:10:29
Яндекс.Метрика