Загрузка страницы

Raila Odinga aendeleza kampeni katika kaunti ya Vihiga

Mikutano ya kupigia upatu mageuzi ya katiba kupitia BBI imeendelezwa katika maeneo mbalimbali nchini, huku kinara wa ODM Raila Odinga akikutana na vijana kaunti ya Vihiga. Raila amemsuta naibu rais William Ruto kwa kumlaumu kwa kusambaratika kwa ajenga ya maendeleo ya serikali ya Jubilee. Katika kaunti ya Garissa, siasa za mwaka 2022 zilishamiri kwenye mkutano wa BBI ulioongozwa na Seneta wa Baringo Gideon Moi.

Видео Raila Odinga aendeleza kampeni katika kaunti ya Vihiga канала Kenya CitizenTV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
31 января 2021 г. 22:58:20
00:04:34
Яндекс.Метрика