Загрузка страницы

Siri ya Wahalifu: Upekuzi wa Steve Juma NTV

Kwa mara ya kwanza baadhi ya vijana ambao wamekuwa wakiendesha shughuli za uhalifu katika mji wa Nairobi wamejitokeza na kusimulia jinsi walivyoweza kutekeleza maovu hayo kwa muda bila ya kupatikana na vyombo vya usalama. Vijana hao pia wameeleza walikokuwa wakipata mafunzo ya kutumia bunduki tofauti na walikozikodisha. Kama anavyoeleza Steve Juma katika makala ya leo ya Siri ya wahalifu, wahalifu hao wamejitokeza baada ya wenzao wengi kuuawa.
Kwa habari zaidi tembelea http://qtv.nation.co.ke
Tufuate kwa mtandao wa Twitter http://www.twitter.com/@QTVKenya
Tufuate kwenye ukurasa wa FaceBook http://www.facebook.com/QTVKenya

Видео Siri ya Wahalifu: Upekuzi wa Steve Juma NTV канала NTV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
6 июня 2016 г. 12:46:56
00:14:47
Яндекс.Метрика