Session 15 | Coverage on New DSE Rules 2025 - Fortius Rutabingwa | Justin Amos - Orbit Securities
UWEKEZAJI WA HISA NA HATIFUNGANI - DAR ES SALAAM #DSE | SHERIA MPYA ZA UWEKEZAJI
Files: https://drive.google.com/drive/folders/1KzRdxpknkTi9_tRPJE5IOH5ZpP6TBXxK?usp=sharing
Katika session hii tutapata taarifa kuhusiana na sheria mpya za uwekezaji DSE 2025. Zaidi ya hapo tutapata taarifa kuhusu kampuni ya Mkombozi Commercial Bank pamoja na general overview ya soko la hisa la Dar es Salaam.
Taarifa na elimu vitatolewa na wataalamu kutoka Orbit Securities, Fortius Rutabingwa na Justin Amos.
Ili kuwasiliana na Mr. Fortius Rutabingwa, au Mr. Justin Amos kwa maelezo zaidi, tafadhali tumia namba zifuatazo:
📞 Justin A: +255 763 853 659
📞 Fortius Rutabingwa: 0620650616
***********************
MATANGAZO YA BIASHARA
#1. TANGAZA BIASHARA YAKO NA MINDSETTING INITIATIVE - KIPINDI CHA UCHAMBUZI WA SOKO LA MITAJI
Sasa unaweza kutangaza biashara yako katika kurasa ya YouTube ya Mindsetting Initiative kwa viwango vilivyo ainishwa hapa chini:
MIFUMO:
a) Mfumo wa picha na maandishi: Unatuma picha ya tangazo na maandishi kwa ajili ya kusomwa kwenye kipindi kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja (Ezekiel atapanga maneno na kuyasoma kwa kiwango utakachochagua. Gharama ya kuyapanga maneno na kusoma ni Tzs 5,000).
b) Mfumo wa picha na sauti kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja. (Ezekiel ataunganisha picha na sauti ambayo utalipia gharama ya Tzs. 5,000)
c) Mfumo wa video kuanzia sekunde 30 hadi dakika 3 kwa mara moja.
d) Mfumo wa picha na maandishi ambayo itawekwa kama posti ya kawaida katika kurasa ya YouTube ya Mindsetting Initiative
VIWANGO NA BEI KWA MIFUMO YOTE YA KUSOMA, SAUTI NA VIDEO
Sekunde 30 - Tzs 30,000
Sekunde 60 (Dakika moja) - Tzs 50,000
Posti ya kawaida - Tzs 10,000
****************************
Видео Session 15 | Coverage on New DSE Rules 2025 - Fortius Rutabingwa | Justin Amos - Orbit Securities канала Mindsetting Initiative

Комментарии отсутствуют
Информация о видео
23 мая 2025 г. 23:16:32
02:06:32
Другие видео канала