Загрузка страницы

Maafisa wa kliniki na maabara wasema mgomo wao ungalipo

Muungano wa maafisa kliniki pamoja na maafisa wa maabara wameishtumu serikali kuu na serikali za kaunti kwa kukosa kutilia maanani matakwa yao licha ya kugoma kwa zaidi ya mwezi mmoja. Maafisa wa maabara wanalalamikia malipo duni na kutotambuliwa kama wahudumu wengine wa afya .

Видео Maafisa wa kliniki na maabara wasema mgomo wao ungalipo канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
9 мая 2024 г. 21:37:51
00:01:36
Яндекс.Метрика