Загрузка...

REV. GREG KRONZ KUTOKA MAREKANI AWANOA WACHUNGAJI DAYOSISI YA TABORA

Jumla ya Wachungaji 71 waliopo kwenye huduma kutoka Dinari 11 na Wachungaji Wastaafu 9 Kanisa Anglikana Tanzania Dayosisi ya Tabora wanashiriki Semina maalumu ya siku mbili inayofanyika Kanisa Kuu Mt. Stefano Manispaa ya Tabara, ambapo mkazo mkubwa wa mseminishaji Mchungaji Greg Kronz kutoka nchini Marekani ni kutoka kwa waraka wa Mtume Paulo kwa wafilipi unaokumbusha kazi kubwa ya mchungaji katika kulichunga kundi na kuliombea

Видео REV. GREG KRONZ KUTOKA MAREKANI AWANOA WACHUNGAJI DAYOSISI YA TABORA канала TORONTO ONLINE MEDIA
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять