Загрузка...

Shangwe la mashabiki wa Simba waliojitokeza uwanja wa ndege

MAPOKEZI YA SIMBA: Hili hapa shangwe la mashabiki wa Simba SC, waliojitokeza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kuipokea timu yao.

Kikosi cha Simba kimerejea leo kutoka Durban Afrika Kusini ambako walicheza dhidi ya Stellenbosch.

#CAFConfederationCup #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #CCC

Видео Shangwe la mashabiki wa Simba waliojitokeza uwanja wa ndege канала Azam TV
Страницу в закладки Мои закладки
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки