Загрузка страницы

Wakaazi wa Rongai wanalalamikia ongezeka la wizi

Wakaazi wa Rongai hasa mitaa ya Metro, Kandisi, Ole Kasasi, Rangai, Maasai lodge na Twala, wanalalamikia kuongezeka Kwa visa vya wizi. Hali hiyo imewafanya wakazi kuishi Kwa hofu kubwa kutokana na hali ya majambazi kutawala maeneo hayo. Wakaazi hao sasa wanatoa Wito kwa idara ya usalama Kuimarisha doria katika maeneo hayo ili kukabili Magenge ya wezi ambayo yamekuwa yakiwahangaisha hasa wakati wa usiku.

Видео Wakaazi wa Rongai wanalalamikia ongezeka la wizi канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
10 июня 2022 г. 15:44:24
00:03:42
Яндекс.Метрика