Загрузка страницы

EXCLUSIVE|| MSIGWA AFUNGUKA KUTAKA UBUNGE KUPITIA CCM, AGUSIA KUCHOMEWA NYUMBA YAKE, AMTAJA MBOWE

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Mwanachama mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema kauli kwamba akihama Chadema na kwenda CCM nyumba na magari yake yachomwe moto ilikuwa katika mazingira tofauti na ya sasa.
Mchungaji Msigwa amesema hay oleo Jumatatu, Julai 1, 2024 alipozungumza na Mwananchi Digital ikiwa ni siku moja imepita tangu alipotangaza kujiunga CCM mbele ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Ikulu jijini Dar es Salaam.
"Haihusiana na sasa, niliposema nikihama Chadema nyumba yangu ichomwe, nilizungumza hivi wakati ule wimbi la watu kuhama likifanyika tukiwa bado wabunge na wengine madiwani.
"Nilizungumza kwa maana kwamba nilikuwa nimepewa dhamana ya ubunge na ilikuwa lazima nimalize muda wa ubunge, wanaolitafsiri wakati huu wanalizungumza nje ya muktadha," amesema.

Видео EXCLUSIVE|| MSIGWA AFUNGUKA KUTAKA UBUNGE KUPITIA CCM, AGUSIA KUCHOMEWA NYUMBA YAKE, AMTAJA MBOWE канала Mwananchi Digital
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
1 июля 2024 г. 22:28:59
00:08:08
Другие видео канала
Hali ilivyo Soko la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakifungua maduka baada ya kugoma siku tatuHali ilivyo Soko la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakifungua maduka baada ya kugoma siku tatuWenje awavaa wanaomsifia Rais Samia, ataka maandamano kuahinikiza waliokula fedha wakamatweWenje awavaa wanaomsifia Rais Samia, ataka maandamano kuahinikiza waliokula fedha wakamatweShuhudia marais mbalimbali watua katika uwanja wa Uhuru | Miaka 60 ya UhuruShuhudia marais mbalimbali watua katika uwanja wa Uhuru | Miaka 60 ya Uhuru#LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 15 , 13 JUNI, 2024#LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 15 , 13 JUNI, 2024Mwendo Kasi Gongo la mboto kuisha mwakaniMwendo Kasi Gongo la mboto kuisha mwakaniBeki kisiki kutoka Uarabuni kutambulishwa Simba, Mo Dewji amaliza mchezoBeki kisiki kutoka Uarabuni kutambulishwa Simba, Mo Dewji amaliza mchezoMashabiki wa Yanga Afrika Kusini waliosafiri hadi Rustenburg kuja kuishangilia timu yaoMashabiki wa Yanga Afrika Kusini waliosafiri hadi Rustenburg kuja kuishangilia timu yaoSerikali kuanza kuwapa ardhi wananchi wenyeji wa Msomera HandeniSerikali kuanza kuwapa ardhi wananchi wenyeji wa Msomera Handeni#LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 15 KIKAO CHA 55 TAREHE 27 JUNI, 2024#LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 15 KIKAO CHA 55 TAREHE 27 JUNI, 2024🔴  #EXCLUSIVE: Kipanya: Tunahitaji viongozi warefu wanaoona kesho, Afrika ni kama mtoto wa mwisho🔴 #EXCLUSIVE: Kipanya: Tunahitaji viongozi warefu wanaoona kesho, Afrika ni kama mtoto wa mwishoTazama Mbunge wa Kihaba Mjini Silyvestry Koka alichosema kwa Makamba bila uogaTazama Mbunge wa Kihaba Mjini Silyvestry Koka alichosema kwa Makamba bila uogaUTEUZI, RAIS SAMIA AFANYA PANGA PANGUA BARAZA LA MAWAZIRI USIKU HUU, AMUONDOA KIDATA TRAUTEUZI, RAIS SAMIA AFANYA PANGA PANGUA BARAZA LA MAWAZIRI USIKU HUU, AMUONDOA KIDATA TRASHUHUDIA UTAALAMU WA MADAKTARI MOI || WAFANIKIWA  KUFIKIA UBONGO KUTIBU MATATIZO BILA KUFUMUA FUVUSHUHUDIA UTAALAMU WA MADAKTARI MOI || WAFANIKIWA KUFIKIA UBONGO KUTIBU MATATIZO BILA KUFUMUA FUVUMKE AELEZEA MUMEWE ALIVYOCHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA, MDOGO MTU AFUNGUKA ANAYOPITIAMKE AELEZEA MUMEWE ALIVYOCHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA, MDOGO MTU AFUNGUKA ANAYOPITIAMashimba Ndaki aeleza haya Bungeni; akichangia Muswada ulioletwa na Mwigulu BungeniMashimba Ndaki aeleza haya Bungeni; akichangia Muswada ulioletwa na Mwigulu BungeniTUMIA BANDARI YA KIPILI/IMARA NA YA KISASA/KIRANDO NI HATARI KWA USALAMA-TPATUMIA BANDARI YA KIPILI/IMARA NA YA KISASA/KIRANDO NI HATARI KWA USALAMA-TPAKesi ya Ukahaba majibu ya shahidi yalivyoiudhi Mahakama akijibu 'hajui'Kesi ya Ukahaba majibu ya shahidi yalivyoiudhi Mahakama akijibu 'hajui'Said Makapu afichua siri za YangaSaid Makapu afichua siri za YangaMpina asimamishwa kuhudhuria vikao 15 vya BungeMpina asimamishwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge#Simulizi: Siri iliyotesa Maisha yangu - Sehemu 01#Simulizi: Siri iliyotesa Maisha yangu - Sehemu 01Mapya yaibuka sakata la Mchungaji Kimaro, chanzo chatajwa 'sio likizo ya kwanza'Mapya yaibuka sakata la Mchungaji Kimaro, chanzo chatajwa 'sio likizo ya kwanza'
Яндекс.Метрика