Загрузка...

VIWANJANI | Makala maalumu ubora wa Rushine De Reuck wa Simba

VIWANJANI: “Leteni fimbo alafu sogeeni mbali kabisa Simba wanachapa”
Haya ni sehemu ya maneno aliyoyatumia mtangazaji wa soka Ayubu Hinjo kulitangaza goli la pili la Simba dhidi ya Namungo FC Oktoba 1, 2025 pale Benjamin Mkapa.

Goli hilo lilifungwa na mlinzi wa Simba Rushine De Reuck ambaye leo Mguu wa Dhahabu Sharif Bayona ametumia kalamu yake kusimulia ubora wa mchezaji huyo kwenye NBC Premier League.

Sauti maridhawa ya Ruqaiya Mbugita imetumika kuusimulia moto wa De Reuck ambaye anang’aa pale mitaa ya Msimbazi.
#Simba #Viwanjani

Видео VIWANJANI | Makala maalumu ubora wa Rushine De Reuck wa Simba канала Azam TV
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки

На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.

О CookiesНапомнить позжеПринять