Загрузка...

USHUHUDA: Nashuku Mafunzo Ya Graphics Design Kutoka Joel Media Yamenisaidia sasa nafanya kazi nzuri

Website yetu: https://joelmediaeducation.com/

Kwa muda usiozidi miezi Mitano Clarens Amejifunza Graphics Design na leo hii amekuja na Ushuhuda mzuri wa kunitia moyo mimi kama mwalimu pamoja na kutoa hamasa kwa yeyote ambaye anataka kuanza anasita, ameanza na anahisi kukata tamaa au umejifunza na umefika mahali unahitaji kujiamini zaidi kupitia mentorship zetu tunazotoa.

Clarens ni moja kati ya wanafunzi wangu wa kujivunia kwa mwaka 2023 kwani wamepata mafanikio na kuanza kufanya kazi za Graphics nzuri na zinazovutia wateja wake na nzuri zaidi ni kwamba amekwishaanza kutengeneza kipato kupitia kazi hizo alizojifunza kwa gharama nafuu, kwa muda mfupi na matokeo ni makubwa sana.

Tazama Ushuhuda huu kisha acha maoni katika sehemu ya comment ikiwa unalolote unatamani kushare, kama na wewe una ushuhuda wowote unaweza kuniambia katika sehemu ya comment ili kuwahamasisha wengine kujifunza zaidi.

Dondosha maoni yako katika sehemu ya comment, share na wengine wajifunza, like na Subscribe ili uendelee kujifunza zaidi kupitia chaneli yetu.

Premium Courses: https://joelmediaeducation.com/
Follow me on
Instagram: https://www.instagram.com/joelmedia_/
Facebook​: https://www.facebook.com/Joelkadagaz
Email: info@joelmediaeducation.com

Видео USHUHUDA: Nashuku Mafunzo Ya Graphics Design Kutoka Joel Media Yamenisaidia sasa nafanya kazi nzuri канала Joel Media
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять