Загрузка страницы

Hatua ya jaji wa mahakama kuu kuharamisha wadhifa wa katibu mwandamizi inazidi kuvutia hisia mseto

Hatua ya jaji wa mahakama kuu Antony Mrima kuharamisha wadhifa wa katibu mwandamizi inazidi kuvutia hisia mseto miongoni mwa wadau na wachanganuzi. Rais uhuru kenyatta alipoitengeza nafasi hiyo baada ya uchaguzi wa mwaka wa 2017, wengi walisema ilikuwa njama ya kuwazawadi wandani wake wa kisiasa.wakili ekuru aukot sasa anasema kubuniwa kwa wadhifa huo kulibadili muundo wa serikali na hivyo wakenya ni sharti wangechangia kupitia kura ya maoni.
#Kenya #KTNNews #KTNPrime
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews

Видео Hatua ya jaji wa mahakama kuu kuharamisha wadhifa wa katibu mwandamizi inazidi kuvutia hisia mseto канала KTN News Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
21 апреля 2021 г. 21:30:00
00:03:43
Яндекс.Метрика