JAY MELODY AMEKANUSHA KUKATAA COLABO NA WENZAKE TATIZO MUDA MCHACHE WASANII WENGI WANAOTAKA COLABO
Msanii wa bongo flevour Jay Melody amekanusha wanaosrma kuwa yeye amekataa kufanya collaboration na wasanii wenzake badala yake amesema anafanya hivyo na wasanii wengi kama akizingatia collabo basi mwaka unaisha hatatoa nyimbo inafikia kipindi na yeye afanye nyimbo zake kwa manufaa yake binafsi kwa maana hata wasanii anaofanya nao collabo akiwaambia apate pacent kidogo kwenye maingizo ya social network ya nyimbo hizo wana kataaa sababu nyingine muda mchache kwaiyo anayetaka kufanya nae collabo lazima avumilie kama wenzake mfano Mabantu walivumilia tangu 2019 na kuja kufanya collabo nae sasa ivi.
#Jaymelody #wasafitv #wasafimedia #bongoflavour
Видео JAY MELODY AMEKANUSHA KUKATAA COLABO NA WENZAKE TATIZO MUDA MCHACHE WASANII WENGI WANAOTAKA COLABO канала asham tz
#Jaymelody #wasafitv #wasafimedia #bongoflavour
Видео JAY MELODY AMEKANUSHA KUKATAA COLABO NA WENZAKE TATIZO MUDA MCHACHE WASANII WENGI WANAOTAKA COLABO канала asham tz
Комментарии отсутствуют
Информация о видео
9 апреля 2025 г. 11:27:14
00:02:51
Другие видео канала