Загрузка страницы

LSK yagawanyika kuhusu mwakilishi atakayehusika kwa uteuzi wa makamishna wa IEBC

Mgawanyiko umeibuka katika Chama cha Mawakili LSK baada ya mirengo miwili kuwasilisha majina tofauti ya mwakilishi wao katika jopo la kuwateua makamishna wapywa wa tume ya uchaguzi IEBC. Haya yanajiri huku baraza linalojumuisha dini tofauti nchini likipendekeza watu wawili kujiunga na jopo hilo huku kukiwa na eti eti baina ya makundi mengine ya kidini. Tume ya huduma za bunge inatarajiwa kuwateua wawakilishi wanne kabla ya wiki hii na kupendekeza kwa rais jopo la watu saba kufikia wiki ijayo.

Видео LSK yagawanyika kuhusu mwakilishi atakayehusika kwa uteuzi wa makamishna wa IEBC канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
21 апреля 2021 г. 21:38:35
00:02:55
Яндекс.Метрика