Загрузка...

Rais Museveni achukua hatua baada ya ajali kuua watu 46. Katika Dira ya Dunia TV

Polisi nchini Uganda wamethibitisha vifo vya watu 46 huku wengine wengi wakipokea matibabu kufuatia ajali ya barabarani usiku wa kuamkia leo. Taarifa za awali zilisema idadi hiyo huenda ikaongezeka. Rais Yoweri Museveni amewaomba wanaotumia barabara hasa madereva wa magari kuwa waangalifu ili kuzuia majanga kutokea. Leila Mohammed ana taarifa zaidi.

#Museveni #Uganda #bbcswahili #bbcswahilileo

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw

Видео Rais Museveni achukua hatua baada ya ajali kuua watu 46. Katika Dira ya Dunia TV канала BBC News Swahili
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять