Загрузка страницы

Mambo Matatu makubwa Bwana Yesu anatufundisha wakati anajaribiwa na Shetani.

Bwana Yesu anatufundisha mambo Matatu makubwa wakati anajaribiwa.
tunaposoma Mathayo 4:1-11
1 Kisha Yesu alipandishwa na Roho nyikani, ili ajaribiwe na Ibilisi.
2 Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
3 Mjaribu akamjia akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.
4 Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
5 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mji mtakatifu, akamweka juu ya kinara cha hekalu,
6 akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
7 Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
8 Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake,
9 akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia.
10 Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
11 Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.

Видео Mambo Matatu makubwa Bwana Yesu anatufundisha wakati anajaribiwa na Shetani. канала LOVE Channel (Upendo)
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
13 февраля 2024 г. 6:44:24
00:08:40
Другие видео канала
Kitabu cha LUKA MTAKATIFU 5:1-39 Petro Avua samaki kupitiliza Baada ya Kufanya Yesu alichowaambia.Kitabu cha LUKA MTAKATIFU 5:1-39 Petro Avua samaki kupitiliza Baada ya Kufanya Yesu alichowaambia.Mathayo 6:5-13 Mafundisho ya Bwana Yesu kuhusu Jinsi ya Kusali ili upate thawabu mbele za Mungu.Mathayo 6:5-13 Mafundisho ya Bwana Yesu kuhusu Jinsi ya Kusali ili upate thawabu mbele za Mungu.Kitabu cha Mathayo 7 -Mafundisho ya Bwana Yesu kuhusu Kuhukumiana, Manabii wa uongo na Njia ya UzimaKitabu cha Mathayo 7 -Mafundisho ya Bwana Yesu kuhusu Kuhukumiana, Manabii wa uongo na Njia ya UzimaKitabu cha Marko 6:1-43 Nazareti wamkataa Yesu, Kifo cha Yohana Mbatizaji na Yesu Alisha Watu elfu 5Kitabu cha Marko 6:1-43 Nazareti wamkataa Yesu, Kifo cha Yohana Mbatizaji na Yesu Alisha Watu elfu 5Kitabu cha Mathayo 6 - Mafundisho ya Bwana Yesu kuhusu kusaidia masikini, Kusali, Kufunga na Mali.Kitabu cha Mathayo 6 - Mafundisho ya Bwana Yesu kuhusu kusaidia masikini, Kusali, Kufunga na Mali.Kitabu cha Mathayo Mtakatifu 28:1-20 Kufufuka katika wafu kwa Bwana YesuKitabu cha Mathayo Mtakatifu 28:1-20 Kufufuka katika wafu kwa Bwana YesuKitabu cha Mathayo 16 -Bwana Yesu amwambia Petro “Toka mbele yangu, Shetani! wewe ni kikwazo kwangu"Kitabu cha Mathayo 16 -Bwana Yesu amwambia Petro “Toka mbele yangu, Shetani! wewe ni kikwazo kwangu"Kitabu cha Mathayo 24:1-46 Bwana Yesu alifundisha dalili za Kurudi kwa Kwake na Mwisho wa Dunia?Kitabu cha Mathayo 24:1-46 Bwana Yesu alifundisha dalili za Kurudi kwa Kwake na Mwisho wa Dunia?Kitabu Cha Mathayo 9 -Yesu amfufua Binti aliyekufa, Aponya vipofu, mabubu na Aliyetoka damu miaka 12Kitabu Cha Mathayo 9 -Yesu amfufua Binti aliyekufa, Aponya vipofu, mabubu na Aliyetoka damu miaka 12Bwana Yesu atarudi lini kulichukua kanisa (UNYAKUO WA WATU UTAKUWA LINI)Bwana Yesu atarudi lini kulichukua kanisa (UNYAKUO WA WATU UTAKUWA LINI)Bwana Yesu alitufundisha Jinsi ya KUFUNGA ili upate thawabu mbele za Baba MunguBwana Yesu alitufundisha Jinsi ya KUFUNGA ili upate thawabu mbele za Baba MunguKitabu cha Mathayo Mtakatifu 20:1-34 Katika Ufalme wa Mbinguni wa kwanza atakuwa wa Mwisho.Kitabu cha Mathayo Mtakatifu 20:1-34 Katika Ufalme wa Mbinguni wa kwanza atakuwa wa Mwisho.Kwa nini Tunasherekea Pasaka? Ilianzia wapi? Je, Unajua Ilianzia Kabla Hata Yesu Kristo Hajazaliwa?Kwa nini Tunasherekea Pasaka? Ilianzia wapi? Je, Unajua Ilianzia Kabla Hata Yesu Kristo Hajazaliwa?Kitabu cha Mathayo 1 - Ukoo wa Yesu na Kuzaliwa kwa YesuKitabu cha Mathayo 1 - Ukoo wa Yesu na Kuzaliwa kwa YesuKitabu cha Mathayo 8 - Bwana Yesu aponya wenye Mapepo, Wagonjwa na Atuliza upepo wa BahariKitabu cha Mathayo 8 - Bwana Yesu aponya wenye Mapepo, Wagonjwa na Atuliza upepo wa BahariMATHAYO MTAKATIFU 5:1-48 Mafundisho ya Yesu kuhusu Uzinzi, Talaka, Hasira, Kiapo, Kisasi, Upendo n.kMATHAYO MTAKATIFU 5:1-48 Mafundisho ya Yesu kuhusu Uzinzi, Talaka, Hasira, Kiapo, Kisasi, Upendo n.kKitabu cha Mathayo 13 - Bwana Yesu awafundisha Makutano kwa Mifano (Mpanzi, Mbegu njema na magugu)Kitabu cha Mathayo 13 - Bwana Yesu awafundisha Makutano kwa Mifano (Mpanzi, Mbegu njema na magugu)Kitabu cha Mathayo 3 - Kubatizwa kwa Yesu na Yohana MbatizajiKitabu cha Mathayo 3 - Kubatizwa kwa Yesu na Yohana MbatizajiBwana Yesu alitufundisha Umuhimu wakusamehe watu wengine waliotukosea hata kama hawajatuomba MsamahaBwana Yesu alitufundisha Umuhimu wakusamehe watu wengine waliotukosea hata kama hawajatuomba MsamahaKitabu cha Mathayo 14 - Herode amuua Yohana Mbatizaji kwa kumkata kichwaKitabu cha Mathayo 14 - Herode amuua Yohana Mbatizaji kwa kumkata kichwa
Яндекс.Метрика