Загрузка страницы

Wanakijiji wa Kamolo Teso Kaskazini waathirika na mafuriko

Wanakijiji wa Kamolo katika eneo bunge la Teso Kaskazini kaunti ya Busia wameitaka serikali ya kaunti kuingilia kati na kuwaokoa kutokana na janga la mafuriko yaliyosababishwa na mto Kamolo kuvunja kingo zake. Mafuriko yameharibu mashamba na nyumba za wakazi hao.

Видео Wanakijiji wa Kamolo Teso Kaskazini waathirika na mafuriko канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
17 мая 2024 г. 15:58:07
00:04:02
Яндекс.Метрика