Загрузка страницы

Kiongozi wa ODM Raila Odinga akosolewa kwa matamshi yake kuhusu 2022

Kiongozi wa ODM Raila Odinga ametifua kivumbi cha kisiasa kutokana na matamshi ya kuwa hatamuunga mkono mwanasiasa yoyote hasa alioshirikiana nao katika muungano wa NASA mwaka wa 2017. Matamshi yake sasa yakivutia hisia kutoka kwa waliokuwa washirika wake wa NASA, ambao wamemtaja Raila kama tapeli wa siasa.

Видео Kiongozi wa ODM Raila Odinga akosolewa kwa matamshi yake kuhusu 2022 канала Kenya CitizenTV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
21 февраля 2021 г. 21:33:38
00:03:15
Яндекс.Метрика