Загрузка страницы

MADUDU YALIYOBAINIKA MWENDOKASI MBAGALA, RC KUNENGE ATOA MAAGIZO "WAPO ASILIMIA 10, HATUMKUBALI"

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Aboubakary Kunenege amefanya ziara ya ukaguzi katika mradi wa barabara za Mabasi yaenddayo haraka "Mwendokasi" inayojengwa barabara ya Kilwa.

RC Kunenge amebainisha ya kwamba wamebaini changamoto katika ujenzi huo ikiwemo uwepo wa nyufa na madonge katika zenge iliyowekwa katika Barbara hiyo.

Видео MADUDU YALIYOBAINIKA MWENDOKASI MBAGALA, RC KUNENGE ATOA MAAGIZO "WAPO ASILIMIA 10, HATUMKUBALI" канала Millard Ayo
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
2 марта 2021 г. 21:14:49
00:04:36
Яндекс.Метрика