Загрузка...

Tanzania: Humphrey Polepole mkosoaji wa serikali yuko wapi?

#tanzania #humphreypolepole #abduction

Nchini Tanzania, maswali yanaendelea kuibuka kuhusu ni wapi aliko Humphrey Polepole-Mkosoaji wa utawala wa Rais Samia Hassan baada yake kuripotiwa kutekwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam na ni nani aliyemteka.

Tayari jeshi la polisi katika taarifa limesema limeanzisha uchunguzi katika tukio hilo baada ya wanafamilia wa Polepole kuthibitisha kuwa mpendwa wao alitekwa.
📷Humphrey Polepole- IG

Видео Tanzania: Humphrey Polepole mkosoaji wa serikali yuko wapi? канала RFI Kiswahili
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки

На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.

О CookiesНапомнить позжеПринять