DC SABAYA ATANGAZA MWISHO WA MBOWE JIMBO LA HAI
Kampeni ya Manyara ya Kijani iliyoanzishwa na Umoja wa Vijana wa chama Chama Mapinduzi (UVCCM) imezinduliwa leo mjini Babati na Mwenyekiti wa Umoja huo Taifa Kheri James na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho Bara na Visiwani.
Miongoni mwa viongozi waliopata nafasi ya Kuzungumza ni Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya ambaye amesema kipindi kilichopita kelele nyingi zilizokuwa zinapigwa na wapinzani ilikuwa ni wizi,ufisadi na Rushwa ambayo yote yamedhibitiwa na serikali ya awamu ya Tano na kumtumia Salamu Freeaman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Hai kwamba 2020 ndo mwisho wake kuwa Mbunge wa jimbo hilo.
Видео DC SABAYA ATANGAZA MWISHO WA MBOWE JIMBO LA HAI канала Muungwana Tv
Miongoni mwa viongozi waliopata nafasi ya Kuzungumza ni Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya ambaye amesema kipindi kilichopita kelele nyingi zilizokuwa zinapigwa na wapinzani ilikuwa ni wizi,ufisadi na Rushwa ambayo yote yamedhibitiwa na serikali ya awamu ya Tano na kumtumia Salamu Freeaman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Hai kwamba 2020 ndo mwisho wake kuwa Mbunge wa jimbo hilo.
Видео DC SABAYA ATANGAZA MWISHO WA MBOWE JIMBO LA HAI канала Muungwana Tv
Показать
Комментарии отсутствуют
Информация о видео
Другие видео канала
![DC SABAYA AJILIPUA Mbele ya SILINDE, AIKATAA CHANJO ya CORONA - "NAWENI MIKONO, MSINAWE AKILI ZENU"](https://i.ytimg.com/vi/wSP7vn4NWiY/default.jpg)
![#TBCLIVE: MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI, DODOMA](https://i.ytimg.com/vi/t8tnPWKFFiM/default.jpg)
![HD VIDEO: RC ALLY HAPI AFOKA, TAZAMA ALIVYOAGIZA POLISI WAMCHUKUE MENEJA WA BENKI NA MWANASHERIA](https://i.ytimg.com/vi/0H_6L5q0sE8/default.jpg)
![DC SABAYA AKASIRIKA ATOA SIKU TATU KWA KIONGOZI HUYU "MIL 171 ZILIPWE"](https://i.ytimg.com/vi/6WsuXsuNrBU/default.jpg)
![MOTO Umewaka DC SABAYA Amkaanga MBOWE TRA - ''Amekwepa Kodi''](https://i.ytimg.com/vi/HkEq8O8QYCc/default.jpg)
![DC SABAYA AWABANA VIONGOZI WALIOCHUKUA KIWANJA CHA SERIKALI "MSISOGELEE"](https://i.ytimg.com/vi/s5czUvVA8p0/default.jpg)
![SABAYA AAGIZA JESHI LA POLISI KUMKAMATA ALIYEKUWA MTENDAJI WA KATA YA MUUNGANO](https://i.ytimg.com/vi/BPxKCgb4DMw/default.jpg)
![MZEE AMVURUGA DC SABAYA - ''Mimi Sio DC Wa Maboksi''](https://i.ytimg.com/vi/VGfHnsnyWaA/default.jpg)
![DC SABAYA Alivyomnasa MFANYABIASHARA na SHEHENA ya POMBE FEKI, USIKU wa MANANE...](https://i.ytimg.com/vi/TKzfVJRLhuM/default.jpg)
![CORONA, DC SABAYA Amkazia MZUNGU - "Walipe MISHAHARA Yao"](https://i.ytimg.com/vi/yOzs6tvW9No/default.jpg)
![DC SABAYA Atinga HOSPITALI Kukataza MADAKTARI Kuzuia MWILI wa MAREHEMU..](https://i.ytimg.com/vi/7yKjOr4nWTo/default.jpg)
![BARAKA MAGUFULI AIBUKA KIVINGINE](https://i.ytimg.com/vi/uNt9-cS3MbU/default.jpg)
![MHE FREEMAN MBOWE AMWAMBIA DC WA HAI KUACHA KUTUMIKA NA DC](https://i.ytimg.com/vi/fi-vypNDKa0/default.jpg)
![MBUNGE wa HAI AWASHA MOTO BUNGENI, AMVAA BASHE - "SIJARIDHISHWA na MAJIBU ya SERIKALI"..](https://i.ytimg.com/vi/G4BfP2bv9MA/default.jpg)
![BREAKING: Waislamu wavamia ofisi ya DC Hai, tunataka haki!!](https://i.ytimg.com/vi/-PZSiRhPMsg/default.jpg)
![DC SABAYA Amtoa JASHO Injinia, CHUPUCHUPU Amsweke NDANI - "OCS KAMA HUYU"](https://i.ytimg.com/vi/TbWnBrT2tho/default.jpg)
![MAGUFULI AMUWASHIA MOTO MKURUGENZI - "UNAFANYA UPUMBAVU, HUWEZI KUNIDANGANYA"](https://i.ytimg.com/vi/oCNhnsTjBqE/default.jpg)
!["HAKUNA ATAKAYEANDAMANA KESHO, MSITUTISHE, HAMTALIPA KISASI, MAISHA YANAENDELEA" - DC SABAYA](https://i.ytimg.com/vi/p7fmdLvv8cg/default.jpg)
![DC SABAYA Amruhusu MBOWE Kufanya Mikutano Hai Kwa Masharti!](https://i.ytimg.com/vi/uOAZIs3tryQ/default.jpg)
![Waziri Mkuu Ampa SABAYA Maelekezo Jimboni Kwa MBOWE Pabadilike](https://i.ytimg.com/vi/SUKfU7b5vT4/default.jpg)