Загрузка страницы

Hatari tupu...!! BASKET MOUTH alivyoitikisa Tanzania - 31/12/2017

Wasakatonge New Year’s Eve Comedy Gala ni tamasha kubwa la kimataifa la Comedy lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam, Tanzania usiku wa mwaka mpya (31/12/2017).

Baadhi ya wasanii waliotikisa jukwaa hilo ni pamoja na Dogo Pepe, MC Pilipili, Kokoro kutoka Mombasa, Prof. Hamo kutoka Nairobi, Basket Mouth kutoka Nigeria pamoja na wasanii saba chipukizi waliopatikana kupitia usaili uliofanywa na Azam TV

Видео Hatari tupu...!! BASKET MOUTH alivyoitikisa Tanzania - 31/12/2017 канала Azam TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
3 января 2018 г. 18:25:53
00:37:54
Яндекс.Метрика