Загрузка страницы

MAGOLI: YANGA U20 2-1 SIMBA U20 (U20 PREMIER LEAGUE - 14/06/2019)

Timu ya vijana ya Yanga chini ya miaka 20 imewaduwaza vijana wenzao wa Simba kwa kuwachapa mabao 2-1 katika mchezo wa kundi A hatua ya nane bora ya ligi kuu Tanzania Bara kwa vijana inayoendelea kwenye Dimba la Azam Complex Chamazi, jijini dar es Salaam.

Simba ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 27 kupitia kwa Jackson James, lakini Yanga walitumia dakika nne za mwisho kupata pointi tatu muhimu, wakianza kusawazisha dakika ya 90 kupitia kwa Yassin Salah, kabla ya Erick Msagati kupachika goli la ushindi dakika ya 90+4.

Видео MAGOLI: YANGA U20 2-1 SIMBA U20 (U20 PREMIER LEAGUE - 14/06/2019) канала Azam TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
14 июня 2019 г. 20:48:02
00:03:54
Яндекс.Метрика