Загрузка страницы

Mwanafunzi abuni dripu ya mgonjwa inayotuma 'sms', kupiga simu ikikaribia kuisha

Ukuaji wa sayansi na teknolojia umezidi kurahisha mambo mengi ikiwamo uhudumiaji wa wagonjwa hospitalini hasa wale waliolazwa.
Kutokana na umakini unaohitajika ikiwemo katika kuwatembea mara kwa mara hasa kwa wale waliotundikiwa dripu za maji au damu, ilimsukuma Godwin Justine mwanafunzi wa Chuo cha Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi Veta kuja na dripu ya kielektroniki. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Juni 29, 2024 Justine amesema zikitumika dripu hizo katika vituo vya afya na hospitali itarahisisha utoaji huduma haraka kwa wagonjwa.
Dripu hiyo inawekewa ‘sensor’ na kuunganishwa katika mfumo maalumu inayo uwezo wa kutuma ujumbe mfupi wa maandishi na kupiga simu pindi inapokaribia kuisha.

Kwa mujibu wa Justine ambaye ni mwanafunzi wa Veta, Dodoma amesema lengo la kutengenezwa kwa dripu hiyo ni kusaidia kukabiliana na uhaba wa wahudumu wa afya uliopo nchini.
Kwa sasa Tanzania inakabiriwa na upungufu wa takribani asilimia 65 ya watumishi wa afya katika vituo vya kutolea huduma za afya.

Видео Mwanafunzi abuni dripu ya mgonjwa inayotuma 'sms', kupiga simu ikikaribia kuisha канала Mwananchi Digital
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
29 июня 2024 г. 17:53:54
00:04:24
Другие видео канала
Hali ilivyo Soko la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakifungua maduka baada ya kugoma siku tatuHali ilivyo Soko la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakifungua maduka baada ya kugoma siku tatuShuhudia marais mbalimbali watua katika uwanja wa Uhuru | Miaka 60 ya UhuruShuhudia marais mbalimbali watua katika uwanja wa Uhuru | Miaka 60 ya Uhuru#LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 15 , 13 JUNI, 2024#LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 15 , 13 JUNI, 2024Mwendo Kasi Gongo la mboto kuisha mwakaniMwendo Kasi Gongo la mboto kuisha mwakaniBeki kisiki kutoka Uarabuni kutambulishwa Simba, Mo Dewji amaliza mchezoBeki kisiki kutoka Uarabuni kutambulishwa Simba, Mo Dewji amaliza mchezoMashabiki wa Yanga Afrika Kusini waliosafiri hadi Rustenburg kuja kuishangilia timu yaoMashabiki wa Yanga Afrika Kusini waliosafiri hadi Rustenburg kuja kuishangilia timu yaoSerikali kuanza kuwapa ardhi wananchi wenyeji wa Msomera HandeniSerikali kuanza kuwapa ardhi wananchi wenyeji wa Msomera Handeni#LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 15 KIKAO CHA 55 TAREHE 27 JUNI, 2024#LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 15 KIKAO CHA 55 TAREHE 27 JUNI, 2024🔴  #EXCLUSIVE: Kipanya: Tunahitaji viongozi warefu wanaoona kesho, Afrika ni kama mtoto wa mwisho🔴 #EXCLUSIVE: Kipanya: Tunahitaji viongozi warefu wanaoona kesho, Afrika ni kama mtoto wa mwishoUTEUZI, RAIS SAMIA AFANYA PANGA PANGUA BARAZA LA MAWAZIRI USIKU HUU, AMUONDOA KIDATA TRAUTEUZI, RAIS SAMIA AFANYA PANGA PANGUA BARAZA LA MAWAZIRI USIKU HUU, AMUONDOA KIDATA TRAMKE AELEZEA MUMEWE ALIVYOCHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA, MDOGO MTU AFUNGUKA ANAYOPITIAMKE AELEZEA MUMEWE ALIVYOCHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA, MDOGO MTU AFUNGUKA ANAYOPITIATUMIA BANDARI YA KIPILI/IMARA NA YA KISASA/KIRANDO NI HATARI KWA USALAMA-TPATUMIA BANDARI YA KIPILI/IMARA NA YA KISASA/KIRANDO NI HATARI KWA USALAMA-TPAKesi ya Ukahaba majibu ya shahidi yalivyoiudhi Mahakama akijibu 'hajui'Kesi ya Ukahaba majibu ya shahidi yalivyoiudhi Mahakama akijibu 'hajui'Said Makapu afichua siri za YangaSaid Makapu afichua siri za YangaMpina asimamishwa kuhudhuria vikao 15 vya BungeMpina asimamishwa kuhudhuria vikao 15 vya BungeMapya yaibuka sakata la Mchungaji Kimaro, chanzo chatajwa 'sio likizo ya kwanza'Mapya yaibuka sakata la Mchungaji Kimaro, chanzo chatajwa 'sio likizo ya kwanza'Maisha ya Afande Sele,  mjengo wake huu hapa  amtengenezea Rais Samia, Magufuli maeneo, ataja sababuMaisha ya Afande Sele, mjengo wake huu hapa amtengenezea Rais Samia, Magufuli maeneo, ataja sababuNANI MTEKAJI? WADAU WAHOJI MATUKIO MAZITO YA UTEKAJI NCHINI,WENGINE MPAKA SASA HAWAJULIKANI WALIPONANI MTEKAJI? WADAU WAHOJI MATUKIO MAZITO YA UTEKAJI NCHINI,WENGINE MPAKA SASA HAWAJULIKANI WALIPOAngalizo matumizi holela vipimo vya Ukimwi, watu wafunguka wanavyowapima wapenzi waoAngalizo matumizi holela vipimo vya Ukimwi, watu wafunguka wanavyowapima wapenzi waoRipoti Maalumu|| Uvutaji gundi unavyoweka rehani maisha ya watoto wa mtaani, VijanaRipoti Maalumu|| Uvutaji gundi unavyoweka rehani maisha ya watoto wa mtaani, VijanaMwandamizi: Aweka wazi sababu za Chama kuachana na  Simba, ataja watakaopewa Thank You Yanga.Mwandamizi: Aweka wazi sababu za Chama kuachana na Simba, ataja watakaopewa Thank You Yanga.
Яндекс.Метрика