Загрузка страницы

UGHAIBUNI LEO : MAISHA YA MAREKANI NA ATHARI ZAKE KATIKA FAMILIA

@Mtangazaji #diaspora #kenyansinamerica #tanzanianinamerica #adventistchurch
Mch Sammy Ngetich kutoka nchini Kenya aliingia Marekani kwa mara ya kwanza Julai 15,1998,Ni Baba wa watoto watatu na mjukuu mmoja.
Mbali na kufanya kazi ya Uchungaji,Sammy ni Mshauri na mtaalamu wa masuala ya ndoa na familia anayetambuliwa na serikali ya Marekani.Fuatana naye katika mahojiano haya ili kufahamu mengi kuhusu maisha nchini Marekani na athari zake chanya na hasi kwa wahamiaji kutoka Afrika Mashariki.

Видео UGHAIBUNI LEO : MAISHA YA MAREKANI NA ATHARI ZAKE KATIKA FAMILIA канала Mtangazaji
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
23 июля 2023 г. 20:00:10
00:29:18
Яндекс.Метрика