Загрузка страницы

Singida BS 0-1 Yanga SC | Kocha Patrick Ausems azungumzia goli la Yanga

#NBCPL “…tumefungwa goli zuri”

Kocha wa Singida Black Stars, Patrick Aussem anaeleza kuhusu goli walilofungwa na ulipokuwa ugumu wa mechi ya leo…..

Naye kocha wa Yanga, Miguel Gamondi anasema waliwaacha mbali sana wapinzani wao kwenye mechi ya leo huku akiwataka wadau kuiheshimu Yanga na kutoifananisha na timu nyingine akisema “…sisi tuko levo nyingine kabisa”.

Nyota wa mchezo ni kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua na amekabidhiwa tuzo yake…

FT: Singida BS 0-1 Yanga SC.

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SisiNiSoka #YangaSC #SingidaBlackStars #YangaSingidaBS

Видео Singida BS 0-1 Yanga SC | Kocha Patrick Ausems azungumzia goli la Yanga канала Azam TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
6 ч. 40 мин. назад
00:02:41
Яндекс.Метрика