- Популярные видео
- Авто
- Видео-блоги
- ДТП, аварии
- Для маленьких
- Еда, напитки
- Животные
- Закон и право
- Знаменитости
- Игры
- Искусство
- Комедии
- Красота, мода
- Кулинария, рецепты
- Люди
- Мото
- Музыка
- Мультфильмы
- Наука, технологии
- Новости
- Образование
- Политика
- Праздники
- Приколы
- Природа
- Происшествия
- Путешествия
- Развлечения
- Ржач
- Семья
- Сериалы
- Спорт
- Стиль жизни
- ТВ передачи
- Танцы
- Технологии
- Товары
- Ужасы
- Фильмы
- Шоу-бизнес
- Юмор
Serikali yaimarisha vituo vya karantini kukabiliana na tishio la Ebola
Serikali itaweka vituo vya karantini katika maeneo mbalimbali nchini ili kuzuia ugonjwa wa Ebola kuingia na kusambaa nchini. Katibu wa Afya ya Umma, Mary Muthoni, amesema kuwa kutengwa kwa wanaoshukiwa kuambukizwa virusi vya Ebola kutasaidia pakubwa kuzuia ugonjwa huo kusambaa. Ripoti zinaashiria kuwa visa vya ugonjwa wa Ebola katika Democratic Republic of the Congo vimefikia 452 baada ya watu 71 zaidi kuambukizwa na vifo 82 kuripotiwa. Nchini Uganda, maambukizi yamefikia 19 huku watu wawili wakifariki kutokana na Ebola.
Видео Serikali yaimarisha vituo vya karantini kukabiliana na tishio la Ebola канала Citizen TV Kenya
Видео Serikali yaimarisha vituo vya karantini kukabiliana na tishio la Ebola канала Citizen TV Kenya
Комментарии отсутствуют
Информация о видео
22 ч. 20 мин. назад
00:03:46
Другие видео канала
