Загрузка страницы

Nyerere Amkabidhi Abdalla K. Hanga kwa Karume na Anauawa Kinyama part1

Nchi Yetu Ina Laana ya Damu, Viongozi wakubwa, Hususan Rais, Ambaye Muda Mwingi anakimbizwa speed 120km/h Anajazwa habari za Uwongo, Fitina, na Usaliti. Ili Mamlaka yake Itumiwe Vibaya Kuharibu na hata Kuangamiza Wengine. Tena Kwa Maslahi yao, Au Kujitengea nafasi ya Upendeleo huko baadaye au Kujilinda na hofu walizo nazo kwa maovu waliowafanyia Wengine.

Historia ya Usaliti Tanzania na Afrika kwa Ujumla Ndio Inayosuumbua. Mimi naamini Pamoja na Rais Magufuli Kuwa na Sehemu yake ya Lawama! Dhuluma ya Kijamii Nchini Tanzania Ina Historia Ndefu sana. Mh. Rais Magufuli akiamua anaweza Kuzimaliza once and for all.

Видео Nyerere Amkabidhi Abdalla K. Hanga kwa Karume na Anauawa Kinyama part1 канала TANZANIA RESTORATION MOVEMENT - TAREMO
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
3 июня 2019 г. 7:45:03
00:09:46
Яндекс.Метрика