Загрузка страницы

UNYAMA: ASKARI 'ADAIWA' KUMCHINJA BABA YAKE, MTAA MZIMA VILIO!

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia MUSSA EDWARD Ndonde maarufu kwa jina la Sanga Mapesa [31] Askari wa JWTZ MT.109772 Kikosi cha Ruvu JKT mkoani Pwani na Mkazi wa Mlandizi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi aitwaye Edward Ndonde [75] Mwalimu Mstafuu, Mkazi wa Lumbila Jijini Mbeya kwa kumkatakata visu sehemu mbalimbali za mwili wake.

Tukio hilo limetokea hii leo huko Mtaa wa Lumbila uliopo Kata ya Iwambi, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya ambapo mtuhumiwa amemuua Edward Ndonde [75] ambaye ni baba yake mzazi kwa kumchoma kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na kisha kumkata kiganja cha mkono.

UNYAMA: ASKARI 'ADAIWA' KUMCHINJA BABA YAKE, MTAA MZIMA VILIO!

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:
INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/
TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Видео UNYAMA: ASKARI 'ADAIWA' KUMCHINJA BABA YAKE, MTAA MZIMA VILIO! канала Wasafi Media
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
13 января 2022 г. 9:00:11
00:03:36
Другие видео канала
HADI HURUMA: MAMA MZAZI wa ASKARI ALIYEMCHINJA BABA YAKE AKISIMULIA KILICHOTOKEA!HADI HURUMA: MAMA MZAZI wa ASKARI ALIYEMCHINJA BABA YAKE AKISIMULIA KILICHOTOKEA!MWILI WA MAMA ALIYEUAWA NA BINTI YAKE ULIVYOPATIKANA BAADA YA MWAKA, M/KITI AFUNGUKA A - Z...MWILI WA MAMA ALIYEUAWA NA BINTI YAKE ULIVYOPATIKANA BAADA YA MWAKA, M/KITI AFUNGUKA A - Z...WATOTO wa BABA ALIYECHINJWA na MWANAE ASKARI WAANGUA KILIO, MWILI UKIAGWA NYUMBANI KWAKEWATOTO wa BABA ALIYECHINJWA na MWANAE ASKARI WAANGUA KILIO, MWILI UKIAGWA NYUMBANI KWAKEUNYAMA: MWANAJESHI AMCHINJA BABA YAKE MZAZI, AJISIFU AMECHINJA KUKU, NDUGU WASIMULIA - "KAFIKA LEO"UNYAMA: MWANAJESHI AMCHINJA BABA YAKE MZAZI, AJISIFU AMECHINJA KUKU, NDUGU WASIMULIA - "KAFIKA LEO"ACHAPWA VIBOKO 70 ARUSHA KWA TUHUMA ZA KUTAKA KUMUINGILIA MWANAUME "AMEKOSA MAADILI, TUNAMUADHIBU"ACHAPWA VIBOKO 70 ARUSHA KWA TUHUMA ZA KUTAKA KUMUINGILIA MWANAUME "AMEKOSA MAADILI, TUNAMUADHIBU"SIKIA ZUCHU AKITAJA SIFA ZA MUONEKANO WA MPENZI WAKE, AISE MBONA KAMA NI YEYE😂SIKIA ZUCHU AKITAJA SIFA ZA MUONEKANO WA MPENZI WAKE, AISE MBONA KAMA NI YEYE😂FULL VIDEO: MAANDAMANO YA WAMACHINGA KARUME, POLISI WARUSHA MABOMU YA MACHOZI...FULL VIDEO: MAANDAMANO YA WAMACHINGA KARUME, POLISI WARUSHA MABOMU YA MACHOZI...MWANAMKE SHUJAA  ALIYEPAMBANA NA MAJAMBAZI KIGOMA ''MUME WANGU ALIPIGWA RISASI,JAMBAZI NIKAMKAMATA''MWANAMKE SHUJAA ALIYEPAMBANA NA MAJAMBAZI KIGOMA ''MUME WANGU ALIPIGWA RISASI,JAMBAZI NIKAMKAMATA''SABAYA AMWAGA MACHOZI MAHAKAMANI, AMSHUKURU RAIS SAMIASABAYA AMWAGA MACHOZI MAHAKAMANI, AMSHUKURU RAIS SAMIAMTOTO ADAIWA KUMCHINJA BABA YAKE, VILIO NA SIMANZI VIMETALAWA MBEYAMTOTO ADAIWA KUMCHINJA BABA YAKE, VILIO NA SIMANZI VIMETALAWA MBEYAAdaiwa kumuua baba yake kikatiliAdaiwa kumuua baba yake kikatiliMAMA ALIYEUAWA NA MWANAE AZIKWA, FAMILIA YATOA MSIMAMO "ALIUZA PIKIPIKI"MAMA ALIYEUAWA NA MWANAE AZIKWA, FAMILIA YATOA MSIMAMO "ALIUZA PIKIPIKI"NAIBU SPIKA AIOMBA FAMILIA KUMSAMEHE KIJANA ALIYEMCHINJA BABA YAKE...NAIBU SPIKA AIOMBA FAMILIA KUMSAMEHE KIJANA ALIYEMCHINJA BABA YAKE...KWA UCHUNGU MAMA WA ASKARI ALIYE MUUA BABA YAKE KIKATILI MBEYA ASIMULIA MWANZO MWISHO.KWA UCHUNGU MAMA WA ASKARI ALIYE MUUA BABA YAKE KIKATILI MBEYA ASIMULIA MWANZO MWISHO.MZEE ADAIWA KUPIGWA NA MWANAJESHI HADI KIFO, NDUGU WAFUNGUKA MAZITO "TULIOSHA MAITI HAKUGUSA MAGOTI"MZEE ADAIWA KUPIGWA NA MWANAJESHI HADI KIFO, NDUGU WAFUNGUKA MAZITO "TULIOSHA MAITI HAKUGUSA MAGOTI"MAJONZI NA VILIO VYA TANDA NYUMBANI KWA HUSNA MLANZI/WAZIRI NAPE NNAUYE ATOA YA MOYONIMAJONZI NA VILIO VYA TANDA NYUMBANI KWA HUSNA MLANZI/WAZIRI NAPE NNAUYE ATOA YA MOYONIA - Z: BINTI ALIVYOMUUA MAMA YAKE NA KUMZIKA, MWENYEKITI AFICHUA KILA KITU - "TULIPELELEZA.."A - Z: BINTI ALIVYOMUUA MAMA YAKE NA KUMZIKA, MWENYEKITI AFICHUA KILA KITU - "TULIPELELEZA.."#ARUSHA#ONA MAAJABU YA YESU ALIYOFANYA KUPITIA MKUNGU WA NDIZI#ARUSHA#ONA MAAJABU YA YESU ALIYOFANYA KUPITIA MKUNGU WA NDIZIMAMA MFANYABIASHARA WA MADINI AUAWA KINYAMA, MWILI WAKUTWA KWENYE SHIMO LA CHOO, MWANAYE AHUSISHWA!MAMA MFANYABIASHARA WA MADINI AUAWA KINYAMA, MWILI WAKUTWA KWENYE SHIMO LA CHOO, MWANAYE AHUSISHWA!BREAKING: ITAKUTOA MACHOZI ASKARI JESHI AMUUA BABA YAKE KWA KUMCHINJA KINYAMA MAMA YAKE ASIMULIABREAKING: ITAKUTOA MACHOZI ASKARI JESHI AMUUA BABA YAKE KWA KUMCHINJA KINYAMA MAMA YAKE ASIMULIA
Яндекс.Метрика