Загрузка страницы

Philipo Manyanda avunja rekodi, ajenga vyumba 10 vya Madarasa Kibaha Vijijini

Philipo Manyanda avunja rekodi, ajenga vyumba 10 vya Madarasa Kibaha Vijijini

Na Omary Mngindo, Disunyara - Jan 14

PHILIPO Manyanda mkazi wa Kibaha Mkoa wa Pwani amesimamia kikamifu ujenzi wa vyumba 10 vya Madarasa ndani ya baadhi ya Kata zinazounda Halmashauri ya Kibaha (Kibaha). 

Ujenzi wa vyumba hivyo unaotokana na fedha za Mradi wa COVID 19 uliotokana na juhudi za Rais Mama Samia Suluhu Hassani, kwa kiwango kikubwa vimekuwa mkombozi kwa wa-Tanzania. 

Видео Philipo Manyanda avunja rekodi, ajenga vyumba 10 vya Madarasa Kibaha Vijijini канала MNGINDO ONLINE TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
14 января 2022 г. 17:30:46
00:01:07
Яндекс.Метрика