Загрузка...

Kizaazaa Busia huku vijana wakiandamana kupinga mauaji ya wenzao

Kizazaa kilishuhudiwa kaunti ya Busia baada ya polisi na wakazi kukabiliana kwa saa kadhaa mapema hii leo. Vijana kutoka eneo la Marachi waliandamana kupinga mauaji ya wenzao wawili waliopigwa risasi Jumanne jioni. Hata hivyo, kamanda wa polisi Busia alisema kuwa vijana hao walipigwa risasi walipokuwa wakishiriki uhuni, muda mfupi baada ya kujaribu kukifumania kituo cha polisi.

Видео Kizaazaa Busia huku vijana wakiandamana kupinga mauaji ya wenzao канала Citizen TV Kenya
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять