Загрузка страницы

12. Serikali ya Madaraka Mpaka Uhuru

Usalama wa nchi katika Serikali ya Madaraka ulikua mikononi mwa Waingereza. Abdulrahman Babu alifungwa na Waingereza lakini aliwashutumu Shamte na Ali Muhsin kua walimfunga.
Katika mazungumzo ya katiba London, ZNP/ZPPP waliwapa ASP viti vya mawaziri wane na haki ya VITO. Nyerere aliwakataza ASP kukubali kuunda serikali ya muungano.
Babu alikubaliana na ZNP/ZPPP kufanya serikali ya muungano na ASP, lakini nje ya mkutano akichochea watu kupinga hilo, kwa kuwa ASP ni wauwaji, wameuwa watu June 1961.

Видео 12. Serikali ya Madaraka Mpaka Uhuru канала MzeeBarwani
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
8 февраля 2016 г. 10:27:58
00:11:42
Яндекс.Метрика