Загрузка...

Smiller description on Smart Hustler Brand

Mzigo mpya wa nguo za kushona
Kwa mahitaji ya nguo za kushona aina zooote karibuni tuwahudumie
Tunapatikana Dar es salaam
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa
Unaweza tucheki tukufuate kokote uliko tuje kukupima
Au tutumie vipimo tukushonee
Pia kama uko bize sana unaweza hata kututumia picha yako
Kama una shughuli yako, iwe birthday, harusi, party yoyote ile au shughuli yoyote ile na unahitaji mavazi au ushauri kuhusu mavazi basi tucheki tukusaidie
Tupigie simu no 0766161696
Ama unaweza kutucheki mitandao yote ya kijamii kama @smart_hustler_brand na @smart_hustler_store

Видео Smiller description on Smart Hustler Brand канала SMART HUSTLER BRAND
Страницу в закладки Мои закладки
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки