Загрузка страницы

Demokrasia Ya Kijambazi Part 3

Wanasiasa na wafanyibiashara fulani maarufu akiwemo afisa mmoja mkuu wa utawala wanadaiwa kuhusika na sakata nzima ya uuzaji silaha haramu kwa minajili ya kuzua rabsha ifikapo 2012. je, mchango wao ni upi? na je, silaha hizo zinaingizwa vipi nchini? kwa uhondo kamili huyu hapa mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali na sehemu ya mwisho ya makala ya demokrasia ya kijambazi, wakati huu ana kwa ana na wauzaji silaha huko mlima Elgon pamoja na ziara yake mjini lwakhakha Uganda.

Видео Demokrasia Ya Kijambazi Part 3 канала KTN News Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
11 марта 2010 г. 2:35:21
00:10:29
Яндекс.Метрика