Загрузка страницы

Highlights | Namungo FC 1-3 Simba SC | VPL 29/05/2021

NAMUNGO VS SIMBA: Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC wamepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC, ukiwa ni mchezo wa kiporo uliopigwa kwenye dimba la Majaliwa, mkoani Lingi.

Namungo wametangulia kupata bao kupitia kwa Nzigamasabo Syve lakini Simba wakicharuka kipindi cha pili walitumia dakika 12 za mwisho kupata mabao matatu kupitia kwa Chris Mugalu, John Bocco na Bernard Morrison.

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Видео Highlights | Namungo FC 1-3 Simba SC | VPL 29/05/2021 канала Azam TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
29 мая 2021 г. 23:41:30
00:19:59
Яндекс.Метрика