Загрузка...

UTAMU WA FIONA BABA UMENIKOJOLEA - SIMULIZI MPYA

MWANDISHI: Maggie Maggie

MY WHATSAPP NO 0744058444

Niliamka asubuhi nikiwa sina hili wala lile nikiwa nafikilia jinsi ya kuifanya siku yangu iende

Maana sina hata mia nyekundundu ndani nikaoga vizuri na kujipamba kisha nilitoka na kwenda zangu maeneo ya bara barani

Nilikuwa naenda madukani nikajalibu kuongea na magi aniwezeshe niifanye siku yangu iwe nzuri

Nilipokuwa bara barani najishauli jinsi ya kuongea na mangi

Ilikuja gari moja kali sana ilikuwa ni reng rover nyeusi na inatintedi

Ikasimama karibu yangu kisha alishusha kioo ndani kulikuwa na wakaka wawili

Mmoja akaniambia samahani dada nilikuwa namuulizia dada mmoja anaitwa fiona anaishi hii mitaa

Niliposikia hivyo nikamuuliza kwani unamjua huyo fiona unayemuulizia

Alijibu hapana tumeagizwa tuu kwake na bosi wetu

Nikamuuliza shida yenu mlikuwa mnataka nini

Yule mkaka akanijibu kwani ndio wewe mbona unaulizia

Nilimjibu siwezi kukuonyesha ikiwa huwezi kuniambia je kama mkiwa mnataka kumzuru niwe sehem ya madhambi yenu sitaki

Yule kijana akaniambia hapana hatuna haja yakumdhuru nibinti tumeelekezwa anaitajika bosi wetu anamuhitaji aliwahi kukutana nae

Sasa alimpenda ila walipotezana alikumbuka alipomtajia maeneo anayoishi

Anakaa na familia yake mitaa hii

Nilijiuliza kwani huyo mtu ninani nikamjibu yule kijana

Nimimi naitwa fiona

Yule kijana aliniuliza kweli

Nilimjibu ndio

Akaniuliza unamfaham mzee Godfrey

Nilimjibu ndio namfaham siyule mwenye kampuni

Видео UTAMU WA FIONA BABA UMENIKOJOLEA - SIMULIZI MPYA канала Simulizi kali
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять