Загрузка страницы

Tamthilia inaendelea kuzua mjadala wa 'echoes of war'serikalini na upinzani

Serikali sasa inasema haitishiki na ukosoaji wa wapinzani au kupitia kwa tamthilia au michezo ya kuagiza. Katika kile kinachoonekana kama kujaribu kuzoa maji yaliyomwagika kwa kuzuia wanafunzi wa wasichana wa butere dhidi ya kuigiza mchezo wa echoes of war, serikali imejitetea ikisema nia yake ni kukinga wanasiasa dhidi ya kupotosha wanafunzi. Mchezo huo wa echoes of war uliandikwa na aliyekuwa katibu mkuu wa uda cleophas malala na umeendelea kuibua mihemko kutokana na mauthui yaliyoonekana kulenga utawala.

Видео Tamthilia inaendelea kuzua mjadala wa 'echoes of war'serikalini na upinzani канала Citizen TV Kenya
Показать
Страницу в закладки Мои закладки
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки