Загрузка страницы

Tanzanian Women All Stars - Superwoman (Official Video)

Song Produced By Lizer Classic
Written By: Diamond Platnumz & Zuchu
Directed By: Director Kenny Under Zoom Extra
Contacts Zoom Extra : +255 718 546 547 | directorkenny1@gmail.com

Mwanamke wewe ni SUPER WOMAN..Wewe ni ALMASI yetu..Wewe ni zaidi samaki mtamu kuliko wooote baharini na ziwani...
Wewe ni TWIGA katika msitu mnene.Urefu wako unakufanya uone kesho yetu na kutuongoza njia tusipotee.
Wewe ni zaidi ya kiporo cha ubwabwa na maharage na chai ya rangi.

Wewe ndio kioo cha jamiii na bila wewe hakuna JAMII.

SISI tunakupenda/Tunakuheshimu na KUKUTHAMINI...Ndio maana tumasema.Ahsante mwanamke #You are a SUPER WOMAN.

Wewe ni wa thamini kwetu.
#Mwanamke #Superwoman #2020NiUshindiTuu

Видео Tanzanian Women All Stars - Superwoman (Official Video) канала Wasafi Media
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
3 марта 2020 г. 14:00:09
00:04:47
Яндекс.Метрика