Загрузка страницы

Shida ya maji Rwanda

Nchini Rwanda, shida ya maji safi imeshamiri. Mfano mzuri ni mkoa wa Mashariki ambao licha ya kuwa na visima kadhaa vya maji, wananchi wanasema bado ni vichache. Maji ya bomba bado ni kitendawili kwa kiasi kikubwa. Baadhi ya maeneo hukosa maji kwa wiki kadhaa hata katika Mji Mkuu Kigali. Video na Janvier Popote. Kurunzi 09.11.2020

Видео Shida ya maji Rwanda канала DW Kiswahili
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
9 ноября 2020 г. 16:00:15
00:04:04
Яндекс.Метрика