Загрузка...

Wenje Atumia Akili Nyingi mbele ya Samia Kuyasema ya CHADEMA, huku akiwaita Wanaharakati Uchwara

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Ziwa, Ezekia Wenje, ambaye amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni, ametumia Akili Nyingi Kuyasema ya CHADEMA chama chake cha zamani, huku akiwaita viongozi wake na vigogo wa chama hicho kuwa ni Wanaharakati Uchwara.

Wenje ameyasema hayo wakati akizungumza mbele ya Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Oktoba 15, 2025 wilaya ya Karagwe mkoani Kagera.

Focus TV is one of the Best Online TV Conveying Content and adding values for the public interest.

Focus TV ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachorusha Maudhui yanayohusu Habari, Mitindo ya Maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani kwa kuyaongezea thamani kwa maslahi ya umma.

Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments.

Focus TV imesalijiliwa Nchini Tanzania na kupewa Leseni ya kurusha maudhui mitandaoni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

#FocusTVTanzania

Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing

We Love You | Tunakupenda
Regards
Team Focus TV Tanzania

Видео Wenje Atumia Akili Nyingi mbele ya Samia Kuyasema ya CHADEMA, huku akiwaita Wanaharakati Uchwara канала Focus TV Tanzania
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять